Pages

Monday, June 6, 2016

MBWANA SAMATTA PAMOJA NA WASANII WA SHIWATA WAKABIDHIWA MAENEO YAO KATIKA KIJIJI CHA WASANII WILAYANI MKURANGA.


 Baadhi ya nyumba katika kijiji cha Wasaanii kama zinavyoonekana katika picha Wilayani Mkuranga. 

 
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Sanaa wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bi. Leah Kihimbi (wa pili kulia) akiwa ameongozana na Mwenyekiti wa Shirikisho la Wasaanii Tanzania (SHIWATA) Bw. Casim Taalib (kulia) pamoja na Afisa Utamaduni Wilayani Mkuranga kukagua nyumba za Wasanii 5 Juni, 2016 Wilayani Mkuranga

No comments:

Post a Comment