Pages

Friday, January 13, 2012

YONO YAKABIDHI ZAWADI YA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMUNYA DARAJA LA KWANZA POLISI IRINGA VYENYE THAMANI YA 500,000

 Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini utoaji zawadi huo
 Mkurugenzi wa YONO Action Mart, B.Scholastica Kavela(kushoto), akikabidhi jezi vifaa vya michezo kwa Katibu wa timu ya Polisi Iringa, Abuu Changawa, vyenye thamani ya shilingi laki tano, hafla ya makabidhiano hayo imefanyika makao makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani Leo
 hapa akikabidhi Mipira
 Mkurugenzi wa YONO Bi, Scholastica akizungumzia msaada huo
Katibu wa Timu ya Polii Iringa Abuu akishukuru kwa niaba ya Timu(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment