Pages

Tuesday, February 7, 2012

MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA WAFANYA UKAGUZI WA VITAMBULISHO KWA WANACHAMA WAKE

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bwn. Immanuel Humba akifafanua mbele ya wanahabari kuhusu zoezi la ukaguzi wa vitambulisho kwa wanachama wake kwenye hospitali na vituo mbalimbali vya kutolea huduma,kumekuwepo kwa matumizi yasiyo sahihi kwa wanachama wachache wasio waaminifu,amewataadharisha wanachama watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria.

No comments:

Post a Comment