Pages
(Move to ...)
Home
▼
Saturday, May 19, 2012
MBUNGE WA MUFINDI KUSINI APATA AJARI
Mbunge wa Mufindi Kusini Bw. Mendrad Kigola akihudumiwa na Muuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Iringa . Oliva Msimbwa baada ya kupata ajali eneo la Ieme mkoani humo hali ya Mbungo huyo inaendelea vizuri na anatarajiwa kuruhusiwa wakati wowote ule.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment