Pages

Friday, May 18, 2012

Vodacom Tanzania Yatoa pole kwa Club ya Simba kufuatia msiba wa mchezaji Patrick Mafisango

Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akimkabidhi rambirambi ya kiasi cha shilingi 1M/-mjumbe wa kamati ya utendaji na Makamu mwenyekiti wa kamati ya fedha wa klabu ya Simba Bw.Saidi Pamba,anaeshuhudia katikati ni Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Msemaji wa Klabu ya Simba Ezekiel Kamwaga(kushoto)akisalimiana na Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa wakati walipofika katika viwanja vya TCC kuuaga mwili wa aliekuwa mchezaji wa klabu hiyo marehemu Patrick Mafisango na kutoa mkono wa pole wa kiasi cha shilingili 1M/-kulia ni Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akitoa heshima za zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Patrick Mafisango aliyekuwa mchezaji wa timu ya Simba leo kwenye viwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment