Pages

Saturday, December 22, 2012

CHAGGA DAY 2012, SERENGETI BAND ILIVYORUSHA NA KUFURAHISHA UMATI ULIOKUWA UMEFULIKA KATIKA MAENEO TOFAUTI.

 Mpiga Gitaa kama kawaida akiendelea kucheza na nyaya huku mikono ikitikisika.
 Mpiga Kinanda kama kawa
kama kawaaaa wazeee wa masauti na sax.
 kama kawaaaa wazeee wa masauti na sax.
 Mpiga Dram
 Mpiga Dram
 Huku yote yakiendelea, pia wazee walipata nafasi ya kuchomokea katika kupata vitu vyao yaani kutoka KONYAGI Bidhaa zote zilipatikana kama unavyoona watu wakiwa wamefurika kaunter
 Mpiga Gitaa la Solo
 Bess Gitaa










 Mpiga Kinanda kama kawa
 Fundi Mitambo wa Tamasha la Jana CHAGGA DAY 2012




(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment