Pages

Friday, December 28, 2012

KUTOKANA NA MAGARI YA ABIRIA KUJAZA WATU KUPITA KIASI, ASKARI WA USALAMA BARABARANI WAMEZIDI KUWA MAKINI

 Askari akionekana kuwa katika moja ya uangalizi wa Mabasi yatokayo mji wa Moshi, kubaini magari yanayojaza Abaria kupita kiasi
Askari wa Usalama Barabarani, akitazama jambo kwa Mjasilia Mali, ambaye akufahamika alikuwa kabeba kitu gani eneo la stand kuu ya Mabasi Mjini Moshi(Picha na Shaaban Mpalule -Moshi)

No comments:

Post a Comment