Pages

Saturday, December 22, 2012

MKURUGENZI WA TAMASHA LA CHAGGA DAY 2012, Rose Siboka, akiwa katika maandalizi ndani ya Ukumbi wa Zumba land.

 kabila la kichaga upatikana katika hali kama hii
 kifaa hiki pia utumiwa na kabila la kichaga
 ni baadhi ya vifaa vya kabila la kichaga

 Hapa ni maandalizi ya Vyakula vya Asili vya Kichaga.
 Tamasha la chagga Day, kumbuka limedhaminiwa na kampuni ya Bia Tanzania (TBL),

 kuna kila aina ya kinywaji ZUMBU LAND,
  Furana ambazo zimeandaliwa kwa ajili ya zawadi kwa wote watakaofika Zumba land leo.

 Tamasha la chagga Day, kumbuka limedhaminiwa na kampuni ya Bia Tanzania (PEPSI),(Picha Zote na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment