Pages

Friday, December 21, 2012

MY WAY ENTERTAINMENT, katika maandalizi ya CHAGGA DAY 2012 , MOSHI.

 Hii ndiyo gari tunayotumia katika Safari yetu, toka Dar es Salaam, Moshi, Arusha, Musoma, Tarime, Mwanza, na Kagera katika kuandaa Matamasha ya Vyakula vya Asili vya Makabila ya Mikoa hiyo. kwa sasa tupo Moshi , na baada ya Tamasha la Kesho tutakuwa Arusha Jumapili, kisha Musoma(Mara).



Mkurugenzi wa My Way Entertainment, Rose Siboka akiwasiliana katika kufanikisha Tamasha la CHAGGA DAY 2012-MOSHI.(Picha na Shaaban Mpalule).

No comments:

Post a Comment