Pages

Saturday, December 22, 2012

TAMASHA LA CHAGGA DAY linaendelea huku ukumbi wa ZUMBA LAND, ukiwa umependeza kwa mapambo ya Wadhamini kama ambavyo unaona katika hizi picha.



































Hawa ni watu wawili wawezeshaji wakuu, mmoja kutoka Pepsi na mwingine mmiliki wa ukumbi ambao Tamasha la CHAGGA DAY 2012 linafanyika, yaani ZUMBA LAND. hapa wakiangalia namna ambavyo wanaweza kushirikiana kibiashara, ikiwa inatokana na mwenye ukumbi kutotumia bidhaa za Pepsi kwa kipindi kirefu na sasa uhusiano umerejea.

No comments:

Post a Comment