Pages

Tuesday, January 1, 2013

MWAKA 2013- WAKAZI WA MOSHI WAVINJARI ZUMBA LAND- SHANGWE ZA KUFA MTU -WAFURAHIA MAANDALIZI NDANI YA UKUMBI

 Baada ya kuukaribisha mwaka 2013- ndani ya Zumba Land mambo yalikuwa kama hivi, fataki za kufa mtu

 Walizi yaani usalama ulikuwa wa kutosha pamoja na LA-LIGA CLUB
  Walizi yaani usalama ulikuwa wa kutosha pamoja na LA-LIGA CLUB
 DJ=OKQ- akipagawisha ndani ya Zumba Land Club-























Shangwe na Nderemo zilikuwa si za kawaida ndani ya Ukumbi wa Zumba Land wakati wa Kuukaribisha mwaka 2013 Mjini Moshi Kilimanjaro.(Picha Zote kwa hisani ya .www.missdemokrasia.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment