Pages

Wednesday, April 24, 2013

Hali Tete Barabara ndogo ya Mawasiliano House Dar es Salaam wakati wa Mvua

Upande wa kushoto ni Barabara ndogo itokayo Mawasiliano House, kulia ni foleni za Magari  kuelekea Ubungo
Foleni za Magari  kuelekea Ubungo

Barabara ndogo ya Mawasiliano House Dar es Salaam wakati wa Mvua ni Kero kwa Wapita njia kutokana na kutwama Maji.
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment