MARIAM SHWAHIBU MISS DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM 2013
Washiriki wa Shindano la Mr & Miss DSJ 2013 wakiwa katika Pozi
Miss DSJ 2nd akijibu moja ya maswali wakati wa Onyesho
Miss Pesonality 2013 Mary Albert, akijibu Swali
Majaji wa Shindano la Mr. & Miss DSJ 2013 -wakiongozwa na Taji Liundi(kushoto)
Washiiki wa Shindano la Mr. & Miss Dar es Salaam School Of Journalism wakiwa katika Picha ya Pamoja wakati wa Onyesho katika Ukumbi wa Belinda Beach Resort uliopo Mbezi Beach Dar es Salaam. Washindi watawakilisha Chuo hicho katika fainali za Balozi wa Demokrasia Tanzania, mashindano ambayo yanahusisha Washindi wa Vyuo Vikuu Vyote Tanzania. Tamasha ambalo linatarajia kufanyika mwezi wa sita.( Picha Kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).
No comments:
Post a Comment