Pages

Wednesday, April 24, 2013

WATOTO WA KITAANI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM, HAPA WAKIWACHANGISHA WAPITAO NA MAGARI ENEO LA KIJITONYAMA

Hali si shwari kwa watoto wa Mitaani Ususani katika kipindi hiki cha Mvua za Mara kwa Mara, hapa watoto wanaoishi Maeneo ya Kijitonyama wakiomba wasamalia wapitao na Magari waweze kuwasaidia.
(Picha kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment