Pages

Tuesday, June 4, 2013

MAGARI YAGONGANA NA KUSABABISHA MTAFARUKU MJINI TANGA

 Gari T-652 AXU, likiwa katika hali mbaya baada ya kugongana na Toyota land Cruiser
 Wakazi na Wapita Njia katika Mji wa Tanga wakishangaa ajali ambayo Imetoa wakati Magari yakijaribu kpishana, kutokana na Uzembe Dereva aliyekuwa akiendesha Daladala(haipo Picha baada ya kukimbia)
 Gari aina ya Land Cruser, ikiwa eneo la ajali baada ya kugongana uso kwa uso na gari ndogo mjini Tanga(Picha Zote kwa Hisani ya Miss Demokrasia Tanzania)

No comments:

Post a Comment