Pages

Saturday, September 14, 2013

DAR ES SALAAM YAPANDA MLIMA KWA KUKATA KIU NA BIA YA KILIMANJARO, LEADARS CLUB HAPASHIKIKI.


Usiku huu Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wameshangwe na kuburudika na Tamasha la Kili Music Awards katika Viwanja vya Leadars ambapo mamia kutoka pande mbalimbali za jiji wamefurika katika kile kinachoitwa(FULL UTAM-JIMWAGE) sambamba na mastaa kibao, Lad Jay Dee, Diamond, Ney wa Mitego, Kala Jeremia, na Wengine Kibao.
(Picha kwa Hissani ya Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment