Pages

Monday, September 16, 2013

Mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama, Matendo yake kwa Jamii ni Ukombozi wa Maisha ya Wenye Hitaji Mbele za Mungu.



Miongonii mwa kazi Imara inayofanywa na Viongozi, hapa Nazungumzia Shuguli za Kijamii zaidi, Mke wa Rais wa Marekani, Michelle Obama anaonekana kuongoza kwa asilimia 100 kutokana na mafunzo yake kwa watu mbali mbali ikiwapo vijana, watu wazima na kina mama.
 (Picha kwa Hisani ya Ikulu ya Marekani kwa Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment