Pages

Tuesday, September 17, 2013

Yanayojiri kwenye msiba wa Ahmed Mgeni Mjini Zanzibar

Baadhi ya Ndugu Mashabiki, na Marafiki wakiaga Jeneza Muda Mfupi Kabla ya Kuelekea Katika Maziko, Mwili wa Mwanamuziki Mahiri wa Muziki wa Taarabu, Ahmed Mgeni.
Baadhi ya Ndugu Mashabiki, na Marafiki wakiwa wenye uzuni katika Msiba wa  Mwanamuziki Mahiri wa Muziki wa Taarabu, Ahmed Mgeni.
Baadhi ya Ndugu Mashabiki, na Marafiki wakiwa wenye uzuni katika Msiba wa  Mwanamuziki Mahiri wa Muziki wa Taarabu, Ahmed Mgeni.
Baadhi ya Ndugu Mashabiki, na Marafiki wakiwa wenye uzuni katika Msiba wa  Mwanamuziki Mahiri wa Muziki wa Taarabu, Ahmed Mgeni.(Picha kwa Hisani ya Mpiga Picha wa : Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment