Pages

Tuesday, December 3, 2013

Dk.Shein azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ,  katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
TA1A1892 
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ,wakiwa katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi  hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

No comments:

Post a Comment