Pages

Monday, December 2, 2013

WAZIRI MKUU MSTAAFU MHE. LOWASSA AENDESHA HARAMBEE MASASI-MTWARA

Askofu akisalimu waumini Msakofu Msataafu wa Dayosisi ya Mtandi Masasi, Oscar Mnung’u akisalimu waumini. EDWI0035 
Mhe. Lowassa akihutubia Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza kabla ya kuongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u. Na Mpigapicha Wetu lowassa akihutubia 2 
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza alipokuwa akiongoza harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Anglikana Dayosisi Mtandi Masasi, mkoani Mtwara jana. Jumla y Sh103 milioni zilichangishwa kwenye harambee hiyo. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Newala, Patrick Mwanachiko na Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Masasi, Oscar Mnung’u. Nampigapicha Wetu
Rose Mhando akiimba 
Rose Mhando akiimba Mwimbaji wa nyimbo za injili, Rose Mhando akiimba katika Kanisa Kuu la Aglikana Dayosisi ya Mtandi Masasi wakati wa harambee ya kuchangia maendeleo ya wanawake na watoto iliyofanyika kanisani hapo juzi.

No comments:

Post a Comment