Pages

Thursday, January 16, 2014

DACICO WAENDELEA NA MITIHANI LEO, NI WALE WA INTAKE JULAI

 Mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa habari na Utawala, Dar es Salaam City College(DACICO), Faudhia Ramadhani, akiwaka kwenye moja ya Mitihani yake ya Vitendo(Studio)
 Hapa ni Happymess Mayebele(left) na Aurea Simtowe, ndani ya Studio wakati wa Mitihani ya Vitendo.
 Huyu ni Aron Gideon ama unaweza kumwita Dj- Brano ndani ya Studio za DACICO.
 Dina Chuwa, akisoma magazeti ndani ya Studio za DACICO F.m
 Baadhi ya Wanafunzi wa Dacico wakiwa ndani ya Studio za DACICO.
Wanafunzi wa DACICO wakiwa katika harakati za kuingia Chuo.

No comments:

Post a Comment