Pages

Friday, January 24, 2014

DR SLAA AKWAMA MBEYA MCHANA HUU



Picha kutoka maktaba ya Dr. Slaa akiwa Songea.
Dr Slaa amekwamba katika kijiji cha Jojo kata ya Santilya Mbeya vijiji baada ya helikopta kushindwa kuruka kutokana na ukungu mzito ulioambatana na mvua tangu saa 5 asubuhi. Amelazimika kwenda kwa gari hadi Ilembo saa 6:25 mchana huu.

No comments:

Post a Comment