Pages

Thursday, January 23, 2014

Lowassa ahani msiba wa mama wa Mzee Makamba

 Na: Henry Mdimu

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba (wa pili kushoto) wakati alipokuwa akimtambulisha dada zake,wakati Mh Lowassa alipokwenda kumpa pole Mzee Makamba aliyepatwa na msiba wa kufiwa na mama yake mzazi huko kijijini kwake Maezangula wilaya ya Korogwe, Mkoani Tanga jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba wakimsikiliza Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Mh. January Makamba wakati wa mazungumzo yao.

No comments:

Post a Comment