Pages

Sunday, January 12, 2014

MAKAMU WA RAIS DR. GHARIB BILAL SHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MAPINDUZI MAATUKUFU YA ZANZIBAR


01 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal, wakisalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi na usalama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Amani, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, mjini yaliyofanyika leo. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment