Pages

Friday, January 17, 2014

MHE.FENNELA MUKANGARA NA WAGENI KUTOKA MARIE STOPS

IMG_1512
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr. Fennela Mukangara akiongea na wageni kutoka Taasisi isiyokuwa ya Kiserikali inayoshughulika na masuala ya afya Marie Stops Tanzania walipomtembelea Ofisini kwake wa kwanza Kushoto ni  Bi. Ulua Mura, Kulia kwa Waziri ni Katibu Mkuu Bi. Sihaba Nkinga na aliyevaa suti nyeusi ni Dr. Komwihangiro. (Picha Benjamin Sawe wa WHVUM)

No comments:

Post a Comment