Pages

Sunday, January 12, 2014

RAIS KIKWETE AWAANDALIA MABALOZI SHEREHE YA KUUKARIBISHA MWAKA IKULU

sp3
sp4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine akisikiliza hotuba toka kwa Balozi wa DRC nchini Mhe Asumani Mpango ambaye pia ndiye Kiongozi wa Mabalozi nchini akihutubia wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party)  Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014
sp5
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi  na wawakilishi wa taasisi za kimataifa wanawake wakati wa Sherehe ya Kuukaribisha Mwaka Mpya(Sherry Party) aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam leo January 10, 2014

No comments:

Post a Comment