Pages

Wednesday, February 26, 2014

MAMBA WAISHA PAMOJA NA WANADAMU KAMA MIFUGO

wanaishi na mambaHii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso.

Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.
securedownload6
 securedownload5
 securedownload4
 securedownload

No comments:

Post a Comment