MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, February 19, 2014

SEMINA YA WASANII WA BONGO MOVIE KUFANYIKA IJUMAA 21 FEBUARI 2014 KATIKA UKUMBI WA VIJANA KINONDONI


DSC_9711
Mkurugenzi  Mtendaji  Kampuni ya Chief Promotion Amoni Mkoga (kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), katika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO), jijini Dar es Salaam  18 Februari-214 kuhusina na maandalizi ya semina ya hatimilki kwa wasanii wa Bongo Movie itakayofanyika katika ukumbi wa Vijana kinonondoni 21-Februari 2014 (katikati), Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengere (kushoto), Meneja Msaidizi Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Matilda Nyallu.DSC_9718Mwenyekiti wa Bongo Movi, Steven Mengere akifafanua jambo kwenye mkutano huo.
Unknown at 2:32 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.