MPALULEBLOG:

Pages

▼

Wednesday, February 19, 2014

TIMU ZA ALOSCO NA OILCOM ZACHUANA VIKALI UWANJA WA MUHIMBILI


P 1. Golikipa wa Oilcom Goodluck Nicholus
Golikipa wa Oilcom Goodluck Nicholus, akiudaka mpira
wa kona uliopigwa langoni kwake.
P 2. Mohamed Kamonja (kushoto) wa Alasco na Feisal MohamedMohamed Kamonja (kushoto) akishangilia bao
aliloifungia timu yake Alosco na mchezaji mwenzake Feisal
Mohamed, wakati wa mchezo huo uliofanyika jana kwenye uwanja wa Muhimbili jijini Dar es salaam
P 3. Mrisho Hamis (kati) wa Oilcom na (7), Jabu Maulidi. Kulia ni Nassor Said wa AlascoNassor Said wa Alosco akiwatoka Mrisho Hamis
(katikati) na Jabu Maulidi (7), wote wa Oilcom.
P 4. Mrisho Hamis wa OilCom (kushoto) na Salum Ahamad wa AlascoMrisho Hamis wa OilCom (kushoto) akikimbilia mpira na
Salum Ahamad wa Alosco, wakati wa mchezo huo. Timu
hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 2-2.
P 5. Oil Com- Mrisho Hamisi (mpira), Nassor Said AlascoMrisho Hamisi (mwenye mpira) wa Oilcom, akimtoka
Nassor Said wa Alosco.
P 6. Nassoro wa Oilcom na Salum Ahamad (12) wa AlascoNassoro Mohamed wa Oilcom akimpoteza Salum
Ahamad (12) wa Alosco wakati wa mchezo huo.
P 7. Saidi Mradi wa Oilcom (anayepiga mpira), Shaaban Hassan wa AlascoSaidi Mradi wa Oilcom (anayepiga mpira), akifuatwa na
Shaaban Hassan wa Alosco.
P 8. Oilcom, Omar Wenge akipambana na Abubakar Sadiq wa AlascoOmar Wenge wa Oilcom (kushoto),  akipambana na
Abubakar Sadiq (kulia) wa Alosco.

Kikosi cha Alosco GroupKikosi cha timu ya Alosco Kikosi cha Oilcom
Kikosi cha timu ya  Oilcom
Unknown at 1:42 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.