Pages

Wednesday, February 26, 2014

TUZO ZA EBRAHIM HUSSEIN ZA ANZISHWA KUENZI MCHANGO WAKE KATIKA UTUNZI WA MASHAIRI.

on FEBRUARY 26, 2014 in JAMII 

tgt6Profesa Ebrahim Hussein (katika) akiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa tuzo za mashairi zilizopewa jina lake ikiwa ni kuenzi mchango wake katika tasnia hiyo mapema hivi karibuni.
Picha zote na Frank Shija – WHVUM

No comments:

Post a Comment