MPALULEBLOG:

Pages

▼

Thursday, February 20, 2014

WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA MATUKIO YA PICHA BUNGENI DODOMA

WMK
1BMjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mwingulu Nchemba (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzie  Zitto Kabwe(kulia) na Albert  jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.2BMjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum  la Katiba  Joshua Nasari(kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Jenista Mhagama(kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.mtandaWaziri Mkuu  ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzake Said Mtanda (kulia) jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.WAJUMBEWajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo na jana mjini Dodoma wakati wa mapumziko.
 Picha na MAELEZO-Dodoma.
Unknown at 3:25 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.