Pages

Friday, March 7, 2014

DACICO KUFANYA UCHAGUZI WA URAIS KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI LEO.

Photo
Mgombea Nafasi ya Urais DACICO., Witness Ismail
wagombea nafasi ya Urais katika chuo cha Dacico,kushoto ni Kajuna VS Witness Ismail ambaye alikuwa waziri mkuu katika Serikali iliyopinduliwa, kutokana na kile kilichosemwa kutotimiza majukumu ya kazi zao Rais pamoja na watendaji wake wote. pia unaweza kutembelea mtandao wetu wa blogs kwa taarifa zaidi.
www.daressalaamcitycollege.blogspot.com
  • Photo
    Mgombea Nafasi ya Urais katika chuo  cha DACICO. Goodlack Kajuna.
     Muda huu Wanafunzi wa Dar es Salaam City College - dacico Tanzania wote wapo kwenye mchakato wa kumchagua Rais wa Chuo Baada ya kupinduliwa Mathias Canal, ambaye ameweza kuwa Rais kwa Kipindi Kifupi na Kisha Kupinduliwa kutokana na Wanafunzi waliomchagua kutaka iwe hivyo. na kama unavyojua tena Mdau Demokrasia inapotakiwa kusimama basi hakuna kinachoshindikana, pamoja na Utetezi mwingi kutoka kwa Baadhi ya Watendaji wake kutaka kuvuta subira ili jambo hilo liangaliwe kwa jinsi ya tofauti lakini ilionekana kuwa ni kikwazo kikubwa sana kwa wanafunzi hao. soma habari hiyo hapa.

No comments:

Post a Comment