Pages

Wednesday, March 19, 2014

ETO’O AENDELEA KUFANYA VITU VYA HATARI ULAYA!!

Amekuwa na mafanikio makubwa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, akitwaa mataji matatu na msimu huu akijaribu kutwaa la nne.
Zama za kutawala kwa ufungaji wa mabao zimehama kwake na sasa ni zamu ya akina Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Zlatan Ibrahimovic na Robert Lewandowski.
Nyota kiwango: Eto’o na Yaya Toure baada ya kuiwezesha Barcelona kuifunga Schalke mwaka 2008
Me again: Eto'o kept up his fine form in the Champions League with Inter Milan
Sishikiki: Eto’o aling’ara pia kwenye Ligi ya Mabingwa akiwa na Inter Milan

No comments:

Post a Comment