Pages

Thursday, March 6, 2014

MAGARI MATATU YAPATA AJALI BWAWANI NA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA NA MAJERUHI 38

DEREVA wa lori la mafuta, Ally Hassan Ngoma (62) mkazi wa Korogwe amefariki dunia papo hapo baada ya kutokea ajali iliyohusisha gari tatu ikiwemo basi ndogo, lori na basi kubwa kugongana uso kwa uso na kusababisha kifo cha mtu mmoja na majeruhi 38 katika ajali iliyotokea eneo la Bwawani majira ya saa 4:30 asubuhi mkoani Pwani.

Sehemu ya ndani ya basi likiwa limeharibika vibaya baada ya ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment