Pages

Wednesday, March 19, 2014

MAONESHO YA WIKI YA MAJI YAENDELEA SIKU YA TATU MJINI DODOMA

Banda la Sera na Mipango, Mawasiliano Serikalini na Sheria.IMG_0404Maafisa wa Wizara ya Maji katika Banda la Maji Mijini.
IMG_0435Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango, Mwinyiheri Ndimbo akitoa maelekezo kwa wageni waliotembelea Banda la Sera na Mipango, Mawasaliano Serikalini na Sheria.
IMG_0440Paineto Makweba kutoka Wizara ya Maji, akitoa maelekezo kwa Wanafunzi waliofika kwenye Banda la Sera na Mipango, Mawasiliano  Serikalini na Sheria. 

No comments:

Post a Comment