Pages

Monday, March 3, 2014

MECHI YA YANGA, AHLY YAINGIZA MIL 488, MECHI YA MLALE, LIPULI YARUDISHWA NYUMA!!

MMG25766Na Boniface Wambura, TFF
Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Al Ahly kutoka Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki imeingiza sh. 448,414,000.
Mapato hayo yametokana na watazamaji 50,202 waliokata tiketi kushuhudia pambano hilo kwa viingilio vya sh. 7,000, sh. 13,000, sh. 25,000 na sh. 35,000. Yanga ilishinda mechi hiyo kwa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment