MPALULEBLOG:

Pages

▼

Monday, March 24, 2014

MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AENDELEA NA KAMPENI KATA YA MBWEWE LEO


1
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ridhiwani Kik wete katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Viwanja vya shule ya sekondari ya Changarika kata ya Mbwewe jimboni humo, Ridhiwani Kikwete alishiriki yeye mwenyewe kijenga shule hiyo wakati ya sekondari Changarika akiwa katibu wa uhamasishaji UVCCM taifa na amewaomba wananchi wa kata hiyo kumkopesha imani yao kwake na yeye atawalipa maendeleo.3Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Mapinduzi Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Pongwe Kiona kata ya Mbwewe leo katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo.
kwa habari zaidi soma hapa: 
www.baloziwademokrasiatanzania.blogspot.com
Unknown at 5:31 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.