MPALULEBLOG:

Pages

▼

Sunday, March 23, 2014

MUME AKUSUDIA KUMTOA ROHO MKEWE HUKO MBEZI BEACH DAR


Bwana mmoja huko mbezi beach amemrudisha mkewe nyumbani ajiwa mahututi badala ya kumpeleka hospital kubwa ya Mwananyamala kama rufaa ilivyoandikwa na madaktari wa Masana Hospital iliyoko Mbezi jijini Dar (Afande Jaina Msangi, kushoto, dada wa mgonjwa Ramla kulia kwa mgonjwa, mimi mbele ya mgonjwa wakati tukimbeba kwa ajili ya kumpeleka Mwananyamala. Kushoto kabisa ni mume wa mgonjwa akiwa pembeni kabisa
HABARI ZAIDI SOMA HAPA
http://missdemokrasia.blogspot.com/
Unknown at 1:02 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.