MPALULEBLOG:

Pages

▼

Sunday, March 23, 2014

RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI KATIKA KATA YA FUKAYOSE JIMBONI CHALINZE

1
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika ya Fukayose jimbo la Chalinze  wakati alipoendelea na mikutano ya kampeni kunania kiti cha ubunge jimbo laKani  hilo, Ridhiwani Kikwete amewaomba wananchi wa kata ya Fukayose kumuamini na kumpa kura za ndiyo siku ya jumapili Aprili 6 na yeye atawalipa maendeleo na watapata nafasi ya kupanga mipango ya maendelea kwa ajili ya mafanikio ya jimbo la Chalinze.
habari zaidi bofya hapa.
www.baloziwademokrasiatanzania.blogspot.com
Unknown at 12:07 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.