Pages

Saturday, March 15, 2014

SHAMLA SHAMLA MECHI YA YANGA NA MTIBWA SUGAR LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA UWANJA WA JAMHURI NDIVYO ILIVYO.

MFANYABIASHARA WA KUUZA CHIPS (MWENYE JEZI YA YANGA) AKIWAHUDUMIA WATEJA WAKE MTAA WA KITOPE.

 
JEZI ZA YANGA ZIKIWA ZIMETANDWA CHINI NA ZINGINE KUTUNDIKWA JUU YA MITI.

 MASHABIKI WA SOKA MANISPAA YA MOROGORO NA VITONGOJI VYAKE WAKIONDOKA ENEO LA JAMHURI BAADA YA YANGA KUSHINDWA KUTOKEA UWANJA WA JAMHURI JANA JIONI.
BASI LA MTIBWA SUGAR LIKIGEUZA KUONDOA ENEO HILO BAADA YA KUKATALIWA NA VIONGOZI WA YANGA AMBAO TIMU YAO HAIKUFANYA MAZOEZI KATIKA UWANJA HUO JANA.
      MASHABIKI WAKIWA WAMEZIZUNGUKA BASI LA MTIBWA SUGAR BAADA YA   KUKATALIWA KUINGIA UWANJA WA JAMHURI JANA JIONI.

No comments:

Post a Comment