Pages

Thursday, July 31, 2014

Balozi wa Norway Mhe. Ingunn Klepsvik amuaga Rais Kikwete ikulu

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Norway nchini anayemaliza muda wake Mhe. Ingunn Klepsvik wakati balozi huyo akimuaga ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi
 (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment