Pages

Wednesday, July 23, 2014

UHARIBIFU WA MAGARI BARABARANI CHANZO CHA MSONGAMANO WA MAGARI'

Kutokana na Barabara zetu kuwa mbaya wakati mwingi kwenye maeneo ya miji mikubwa, tatizo la msongamano wa magari limekuwa kubwa, hata chanzo cha tatizo hili pia isababishwa na Kutokuwa waangalifu Madereva na vyombo vyao vya usafiri(Picha na Miss Demokrasia Tanzania).

No comments:

Post a Comment