Pages

Monday, July 28, 2014

UONGOZI WA CHUO NA HOSPITALI YA IMTU WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KINONDONI KWA TUHUMA ZA KESI YA KUTUPA MAITI ZA WATU

 Viongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) cha Dar es salaam wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni leo wakikabiliwa na mashtaka ya kutupa ovyo viungo vya binadamu. Wakati taarifa kamili ikiandaliwa hebu jionee taswira hizi walipofikshwa mahakamani leo
 Watuhumkiwa wakiwa katika gari la polisi 
 Watuhumiwa wakipanda gari baada ya kusomewa mashitaka
 Watuhumiwa wakitoka mahakamani baada ya kusomewa mashitaka
Watuhumiwa wakiwa wanasubiri kuingia mahakamani.

No comments:

Post a Comment