Pages

Thursday, August 7, 2014

Angel Binti wa Rais Kagame aitikisa White House Marekani


Wakati ambapo marais wengi wa Afrika wameenda na wake zao kwenye mkutano na Rais Barack Obama, Rais Paul Kagame wa Rwanda amechagua kwenda na binti yake, Angel.
Awali watu  walidhani  kuwa  mke wa Rais wa Cameroon, Chantal Biya anaweza kuwa kivutia kwa wengi kutokana na nywele zake, lakini inavyoonesha Angel Kagame ‘ameichukua show’ kwa urembo na urefu wake kama wa Twiga. 
Tazana pia Urembo na Uzuri wa Chantal Biya mke wa Rais wa Cameroon

No comments:

Post a Comment