Pages

Tuesday, August 5, 2014

CBE YAENDESHA MAFUNZO KWA WATOA HUDUMA ZA AFYA 72 KUTOKA MIKOA MBALIMBALI JIJINI DAR

 Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller akielezea jambo wakati akifunga mafunzo ya awali ya IT kwa watumishi wa huduma za (MKOBA) wa uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania.hafla hiyo ya ufungaji mafunzo ilifanyika 2 Agositi 2014 katika chuo cha C B E jijini Dar es Salaam.Pichani kulia ni Mhadhiri Msaidizi (ICT), Godfrey Mwandosya, Mkuu wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.Alex Mwijika, Kaimu Mkuu wa Idara Mathematics (ICT), Nzomwe Mazana.Mafunzo hayo yalitolewa na CBE kwa watoa huduma za Afya 72 kutoka Mikoa mbalimbali nchini.
 Mhadhiri Msaidizi ICT, Ogakhan Nyamu akisisitiza jambo wa hafla hiyo.
 Watumishi huduma za (MKOBA) na uzazi wa mpango kutoka Mikoa mbalimbali nchini Tanzania walioitimu mafunzo ya IT wakimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania, Ulla Muller, wakati akifunga mafunzo hayo

No comments:

Post a Comment