Pages

Thursday, August 14, 2014

HATIMAYE JACKLIE CLIFF AMEHUKUMIWA KIFUNGO JELA-HUU NDIO MUDA ATAKAO KAA JELA

Kama wengi Mjuavyo Kuwa Mrembo wa Bongo Jack Cliff alikamatwa China Mji wa Macau kwa Tuhuma za Kubeba Madawa ya Kulevya , Sasa mpya kutoka huko zinasema Kesi ya mrembo huyo imesomwa na Amehukumiwa Kifungo cha Miezi Sita Gerezani.

Chanzo cha habari hiyo hakijatoa maelezo ya kutosha kwanini iwe miezi sita tuu na wakati tunasikiaga kuwa huko adhabu kwa makosa kama hayo ni kali sana na hufikia hata kunyongwa....tutaendelea kufuatilia na kukuletea habari kamili ..

No comments:

Post a Comment