Pages

Thursday, August 14, 2014

MGONJWA AKUFARIKI DUNIA SINGIDA MUDA MCHACHE BAADA YA dAKTARI FEKI KUMCHANGANYIA MADAWA.


Vitendo vya watu kujifanya watumishi wa idara mbalimbali hapa nchini vimekuwa vikiendelea kukithiri, baada ya mtu moja katika kijiji cha Iyumbu wilaya ya Ikungi mkoani Singida kujifanya daktari na kusababisha kifo cha mgonjwa kwa kumwekea chupa za maji tisa zikiwa zimechanganywa na dawa pamoja na vidonge sita

No comments:

Post a Comment