Pages

Tuesday, August 5, 2014

MKUU WA MKOA WA KATAVI ATEMBELEA BANDA LA MBEYA YETU NANE NANE AMWAGA SIFA KEM KEM

Mtoa Maelezo kutoka Tone Multimedia Group kupitia Mtandao wao wa Mbeya yetu Blog Fredy Anthony Njeje wa kwanza kulia akitoa maelezo ya kina kwa Mkuu wa Mkoa wa katavi Mh.Dr Rajab Lutengwe jinsi mtandao wa Mbeya yetu unavyofanya kazi pia unavyosaidia upatikanaji wa habari kwa urahisi kabisa. Pia kuekeza sababu za Kushiriki katika mashindano ya nane nane ikiwa ni pamoja na Kutoa elimu juu ya mitandao ya kijamii na faida zake hasa upande wa Blogs na matumizi sahihi. Zaidi ingia www.mbeyayetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment