Pages

Tuesday, August 5, 2014

MTENDAJI WA KIJIJI AKAMATWA NA NGOZI ZA CHUI BAGAMOYO MKOANI PWANI.

 
Watuhumiwa wa ujangili ambao ni Mtendaji wa Kijiji (kushoto) na mwenzake wakiwa wameshika nyara za Serikali walizokamatwa nazo huko Mbwewe, wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani. (Picha na John Mhala).

No comments:

Post a Comment