![]() |
| Mwandaaji wa Miss Lake Zone 2014 Flora Saloon akitoa maelezo juu ya mchakato na tarehe rasmi ya Redds Miss Lake Zone 2014 ambayo itafanyika tarehe 30/08/2014. |
![]() |
| Huku akiitaja na historia kumlinda Muandaaji wa Redds Miss Mara Brother ameahidi kuleta changamoto kwenye kinyang'anyiro cha Miss Lake Zone. |
![]() |
| Sehemu ya wanyange 12 wa Redds Miss Mwanza ambao mwishoni mwa wiki hii watashuka katika ukumbi wa JB Belmonte kuonyeshana skillz hatimaye mmoja kuibuka kinara. |
![]() |
| Kama ni burudani huyu hapa Mzee Yusufu. |
![]() |
| Mzee Yusufu na mashabiki wake wa Mwanza. |
![]() |
| Kutoka kulia ni Brother David Lata, mwandaaji wa Redds Miss Mwanza John Dotto (katikati) na mdau wa kamati. |
![]() |
| Ng'aring'ari ... |
![]() |
| Meza ya wastaarabu. |
![]() |
| Ni tukio lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi mpya wa kisasa wa Mamiz uliopo Mkolani jijini Mwanza. |
![]() |
| Kalla Jeremiah (kulia) akiwa na mdau wa Kamati ya maandalizi ya Redds Miss Lake Zone 2014. |











No comments:
Post a Comment